Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Ameondoka kwenda kuyasaini matokeo ya urais kabla ya kuyatangaza
Kwamba nimeharibu sehemu? Au kiswahili tatizo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzee huu shida sana,kichwa changu kimechoka,ni full kulala[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mwandiko wangu mbaya nisamehewe tuHahahaa kwa nahau tu hauna mpinzani
Poa be free,post chochote usitukane pewa like toa likeAhsante numbisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Eti jamaa kaipiga juisi yote hata mahojiano hayajaanza. Halafu kila kitu mubashara kabisa kwenye TV. Sasa hivi ana-trend kwenye site za Wakenya...![]()
Utakuwa umejiokota munyewe.1+1=1
Let
Sinq/cosq=1
And cos'h/h=1
Apply
From 1+1=1
Sinq/cosq + cos'h/h=sinq/cosq
But cos'h/h it can be negleted..so unaiondoa tu coz haina dhaman
Unabaki na....
Sinq/cosq=sinq/cosq
Dhaman ya sinq/cosq=1
...1=1 hence proved
Kuna watu nimewaokota hapo hawaelew kitu
Naona hivyoKiswanglish
TBTuberculosis
Nimeelewa sana tu wala hakuna tatizo ila wengi wanapenda maisha ya maigizo jamani ukiona maneno utahisi unachat na mtoto wa bill gates kumbe wa tandale kwa mtogole tuKwamba nimeharibu sehemu? Au kiswahili tatizo!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uzee huu shida sana,kichwa changu kimechoka,ni full kulala[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama mwandiko wangu mbaya nisamehewe tu