Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

f0176c3709310295a2d2a0aa3d35b984.jpg
 
Hahahaa kwa nahau tu hauna mpinzani
Nimeenda kule... Sisi tu watu wazima tuishi kiuhalisia,ni rahisi sana kusaidiana penye shida kuliko tukaishi kwenye maisha ya ku edit hadi unasahau original yako.(Yaani mimi andjul,kazi yangu...dereva wa lori(moudgulf alisema), kazi ya pembeni...nauza maparachichi,mihogo,ndizi na bamia,sehemu ya kuishi...Ushirika Tukuyu.Ndoa...ndiyo nimeoa ila ni ya kugombana kila siku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ). Welo kamu woote
 
Back
Top Bottom