Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jiepushe na pombe na vitu vinginevyo vinavyoweza kukushawishi uvute sigara tena. Pombe ni miongoni mwa vishawishi vikubwa vya kukufanya uvute sigara. Hivyo kama wewe ni mnywaji ni bora inabidi uache kunywa hasa wakati huu unaotaka kuacha sigara. Kama kahawa pia inakufanya usijikie kuvuta, iacha na unywe chai badala yake. Na kama huwa unavuta baada ya mlo, basi tafuta kitu kingine cha kufanya kama vile kupiga mswaki au kutafuna ubani baada ya kula