Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
H130
Hahahah leo nimeungana na ww kumnanga yy.Hebu subiri nimuulize yuko wapi nikuletee taarifa...ila hamchelewi kunisimanga wewe na mumeo[emoji2][emoji2]
We ndugu yangu niambie Tu kwani mpaka niangaikeSijui nini huko nyuma sijui hata mimi sijui.Fuatilia mwenyewe nisije onekana mbea bure
OK poa mkuuYes. Man of the year/decade/millenium......
Mwenyekiti KibakaNipoooo
Mateso yapi?