Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unapoteleza juu ya ganda la ndizi na kudondoka, akilini mwako kitakachokuja kwa haraka ni kujiuliza nani amekula ndizi na kutupa ganda kiholela. Ukweli ni kwamba kama ungekuwa makini unapotembea kwa kutazama chini, ungeliona na kulikwepa.

Unaposhindwa jambo usitafute sababu ya kujitoa badala yake tafuta njia mbadala ya kuhakikisha kazi hiyo inafanikiwa.
Word. Kulaumu wengine ni rahisi zaidi....
 
Ikiwa hutaki kutumia vitu vingine vyenye nicotine wakati umeacha sigara, mwombe daktari wako akuandikie vidogo ambavyo vinavyoondoa athari za mwili kuzoea nicotine wakati unapoacha sigara.
 Usijiamulie peke yako na kwa siri, bali itangazie familia yako,
 
waambie marafiki zako na wafanyakazi wenzako kwamba umeacha sigara! Kukupa moyo kwao kutakufanya uweze kufanikisha lengo lako hilo kwa urahisi zaidi. Pengine unaweza kujiunga na vikundi vya wanaoacha kuvuta sigara au kwenda kwa mshauri ili akusaidie suala hilo.
 
Jizuie usipatwe na msongamano wa fikra na mawazo mengi. Hii ni kwa sababu moja ya sababu inayowafanya watu wavute sigara ni kwa kuwa nicotine huwafanya wajihisi hisia nzuri mwilini na mwili kulegea. Utakapoacha sigara itakubidi utafute njia za kukabiliana na stress. Ni bora ukipata masaji ya mwili kila mara, usikilize mziki mwororo, huku ukijizuia na yake yatakayo kufanya upate mawazo na msongamano wa fikra na ikiwezekana fanya yoga na mazoezi ya kulegeza mwili.
 
Back
Top Bottom