andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu yaani ukiweza kuwa rafiki wa mke wako,basi, hakuna maisha magumu yatakupitia bila ya kupata faraja kutoka kwa mwenza.It is not a lack of love, but a lack of friendship that makes unhappy marriages.
- Friedrich Nietzsche