2. Tango husaidia kuongeza maji katika mwili wa mwanadamu, kwani asilimia 95 ya tango ni maji, huku tukizingatia ya kwamba asilimia 75 ya mwili wa mwanadamu ni maji, ambapo maji hayo ni chanzo kikuu cha usafirishaji wa chakula na damu katika mwili wa mwanadamu. Hivyo unashauriwa utumie kwa wingi tunda hili.