Thank you[emoji512] Happy earth strong baby doll[emoji512]
AMUN RAKila kitu chako kimebarikiwa
AMUN RAUfanikiwe katika mambo yako yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitamuita yule mama mwenye fujo ohoooo
Leo katika makala hii afya tujifunze faida za Tango katika miili yetu, ikiwa watu wengi tunakula bila kujua faida zake katika maisha ya kila siku. Hivyo nakusihi uambatane nami mwanzo mpaka mwisho wa makala haya kwani naamini utakochokisoma hapa kitakwenda kukusaidia.