Wapewe mikopo, mashine za kukobolea unga, maji, miundombinu bora ambayo itamwezesha kuutayarisha muhogo katika saa mbili baada ya kuvunwa, masoko ya ndani na nje na elimu.Wakulima watenge ardhi kubwa kwa ajili ya muhogo kama wafanyavyo kwa mazao mengine, ili kulifanya zao hili kuwa la biashara.