Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Hata nikijaza matango na maembe kwenye beseni bado wateja wanaulizia muhogo mbichi na karanga na hawa wa nazi nao wanakuja kwa kasi sasa,” alisema.
Mtaalamu wa chakula na lishe katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Pazi Mwinyimvua alisema manufaa ya muhogo, nazi na karanga yameibuliwa na ujuzi wa asili.
Mtaalamu wa chakula na lishe katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Pazi Mwinyimvua alisema manufaa ya muhogo, nazi na karanga yameibuliwa na ujuzi wa asili.