tremendous
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 3,237
- 5,328
[emoji15] [emoji15]IMPOSSIBILITY
Najitahidi......Kuwa na amani
Ubunifu mkuu 😀😀[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] notifications nzuri sana
Hudhani nini? Itakua labda hujaelewa tu maana ya hiyo slang.Sidhani
Mkuu,Ha wa yuuu...Mpo fasta, mmeshaupiku uzi flani.
Am guddo...mzima wewe?Mkuu,Ha wa yuuu...
Lakini amekwambia hatakuwa huko,mbona kama una lazimisha sana? Shule mmefunga mid-term?Pole sana Shemeji. Nakuja Shy nitakutafuta @ Andjul
Hii ni habari njema,mihogo hii hii!!!Umewahi kukaa kwenye foleni? Kama jibu ni ndiyo, je, umewahi kuwaona kina mama wanaouza nazi, muhogo na karanga mbichi katika mabeseni?
Kama jibu pia ni ndiyo, basi ukae ukijua kuwa bidhaa hizo sasa ndiyo habari ya mjini kwani muhogo, karanga mbichi na nazi vinatajwa kuwa vyakula vya kuongeza urijali na kulinda heshima ya baba nyumbani.
Huo muhogo unawakumbushia wahenga wote kuwa, 'Mficha uchi, hazai'Hii ni habari njema,mihogo hii hii!!!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] naenda....