Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu na wewe umeitumia hiyo? Kwa mara ya kwanza niliipata baada ya kuuza maembe,nikanunulia bagia kwa mama Kudula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo tulitumia wachache sana humu! Kina kichwa kichafu wanaweza kufikiri labda hiyo ni hela ya Somalia.😀😀
 
Umetukimbia sijui tumekukosea nini
Yale mafunzo mliyonipa nilitaka niyafanyie kazi bila uwepo wenu,maana nilihisi kama na copy na ku paste.Next wiki narudi nyumbani mazima, sirudi tena huku,naomba mnipokee.Hofu yangu ni Evelyn salt,ila dadaangu Heaven sent na Nalendwa sina shida,espy mara chache tunakutana kwenye corridor la huku
 
Uzamia kwenye mgodi wa likes. Uje ndugu yangu tunakuhitaji kule tujenge taifa la viwonder!
 
Screenshot_2017-08-12-12-08-07.png
 
Back
Top Bottom