Mm leo sitaki maneno nagawa tuu ma likes.Kuongea waachie wadau wa makinikia.Watu wote kimya
Pole aisee!Jamani leo wamenishika
Halafu baada ya kulikwamua gari hapo utakuta jamaa anaenda kuhonga hela yote!! Mungu anawaona nyie akina naniii...
Baby S naifurahia kazi yako ya kutoa ma likes...u mdau mzuri sana...Asanteeee
NajuaJe wajua?
Ni uzi gani ulioshika kasi na umaarufu kwa siku chache za hivi karibuni?