Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
H153
Kweli kabisaKwa kuua soo hawez enda atatuma mwakilishi maana piga ua edo lazima aalikwe..
Tusubiri kama atahudhuria sherehe za kuapishwa kama ataalikwa
yenye mito na mabonde mengi yana....
Sipati picha Edo na Magu uso kwa uso.....lazima atie Mguu maana anajua Uhuru akiamua kumshambulia kuhusu udikteta uchwara wake 2020 hata kwa wizi itakuwa ngumu sana.
Cc: Bitoz, nyagei, shululu, shunie,.....Masikini...Makapuku Forums imekufa kifo cha mende....
Salama kabisaNawasalimu humu ndani
Ndo hivyo hamna namna...kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho...Cc: Bitoz, nyagei, shululu, shunie,.....
Ndo hivyo hamna namna...kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho...Cc: Bitoz, nyagei, shululu, shunie,.....
Sipati picha Edo na Magu uso kwa uso..
Njoo Florida Mkuu...Nawasalimu humu ndani