Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Matiti ni miongoni mwa maeneo ambamo saratani hujizalisha.

Takwimu kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OCRI) zinaeleza kuwa mpaka kufikia mwaka 2011 Desemba, kesi 323 za saratani ya matiti ziliripotiwa katika taasisi hiyo. Saratani hii, hutokea kwenye titi ambalo kwa kawaida lina sehemu ya kutengeneza maziwa ijulikanayo kama lobules na aina fulani ya mishipa inayounganisha hizi lobules na chuchu za titi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…