Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Yumo jumbaniBAK yupo humu???????
[emoji1] [emoji1] [emoji1] bado wanakubaliana beiKwako Bwana Humphrey Polepole, hivi yule kiongozi mkubwa wa upinzani kutoka Dar es Salaam uliyeahidi kumnyofoa "wiki ijayo" (wiki tatu zilizopita) bado hamjaafikiana bei yake? Kwani yeye alitaka ngapi?
HahahahahNumbi Numbi Numbii...
Inatoshaaaaaa hizi Insha sijasoma hata moja.
Kula tu like mamy