Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Matumizi ya dawa za kupanga uzazi: Kuna ushahidi kuwa saratani ya matiti ina uhusiano na matumizi ya muda mrefu ya vidonge vya kupanga uzazi.
Kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni mwilini:
Kwa wale wanaotumia tiba ya homoni inayojulikana kama ‘hormone replacement therapy’, kwa sababu nyingine yeyote ile, au wale wenye kiwango kikubwa cha homoni kama vile ‘oestrogen na progesterone’ mwilini mwao wapo kwenye hatari zaidi ya kuugua saratani ya matiti.