Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mfano, hivi karibuni mcheza sinema wa nchini Uingereza, Angelina Jolie alikatwa matiti yake mawili baada ya kubainika kuwa ana vinasaba vinavyozalisha saratani.

Mama na shangazi yake Jolie, walifariki kwa saratani ya matiti.
Mind you mama yake Jolie na shangazi siyo ndugu. Inakuwaje hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Half time,huwezi jua labda mambo yanaweza geuka
0fedfa7c8864217bb5616db4f416512f.jpg
 
Matumizi ya dawa za kupanga uzazi: Kuna ushahidi kuwa saratani ya matiti ina uhusiano na matumizi ya muda mrefu ya vidonge vya kupanga uzazi.

Kuwepo kwa kiwango kikubwa cha homoni mwilini:

Kwa wale wanaotumia tiba ya homoni inayojulikana kama ‘hormone replacement therapy’, kwa sababu nyingine yeyote ile, au wale wenye kiwango kikubwa cha homoni kama vile ‘oestrogen na progesterone’ mwilini mwao wapo kwenye hatari zaidi ya kuugua saratani ya matiti.
 
Back
Top Bottom