[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan we Mzee umenishinda my ndugu.[emoji124] [emoji124] [emoji124] usitumie pesa kama fimbo,pale palipo na makubaliano,hapo ndipo pesa ina thamani....[emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji444]
Halafu ni wa kawaida sana hata asikusumbue.Tumekulia usukumani ujue,so,sisi na wewe ni ndugu maana wote tumeoa usukumani.Hapo je!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahah ubuyu bana huwa haubagui hali ya mfuko bali kutimiza ushilawadu kamili
Unaweza kuta walishika kitanda huku na kule wakaanza kukitingisha[emoji23][emoji23][emoji23]Kutikisa chaga eeh!?
Beautiful couple!!!
Nani yule mkeo?[emoji23][emoji23][emoji23]Muulize mwenzio,maana wote ni ma X wa kichwa
[emoji44][emoji44]When you kiss someone passionately, their DNA will stay in your mouth for at least an hour afterwards.