cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Cherie umeamka mapema. Kulikoni? Maandalizi ya kwenda kanisani ama?
Amen...
Hapana,siendi Church.Cherie umeamka mapema. Kulikoni? Maandalizi ya kwenda kanisani ama?
Asante kwa sala ndefu nzuri. Hebu Mungu na Akatutendee waja wake kama ulivyotuombea. Amen !!!
AMINAAsante kwa sala ndefu nzuri. Hebu Mungu na Akatutendee waja wake kama ulivyotuombea. Amen !!!
Umeniamsha. Ngoja nami nikuunge mkono kabla waungwana hawajaamka!