carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Dr hadi wewe umekosa usingizi leo?[emoji2][emoji2]Unywaji wa kahawa nyakati za jioni au usiku huweza kumsababisha mtumiaji kukosa usingizi nyakati za usiku. ‘Nicotine’ ambayo hupatikani kwenye sigara ni miongoni mwa kemikali zinazosababisha kukosa usingizi.