Shemeji me nililinda humu napita kukagua lindoTupo shemeji. Jumapili hii mbona mapema sana? Tayari kwenda chachi ama?
Tuliokesha tumekeshaje?[emoji23][emoji23][emoji23]hii inakuhusuDuu... Sisi hii haituhusu! Huwa hatulali!
[emoji818] Kumekucha
Hebu type tuone[emoji2][emoji2][emoji2]kumbe nakesha na robot humu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Hebu niambie ni type YacF?C kuhakikisha kama mimi siyo robot![emoji3]
Nilikuona wakati ule ukijaribu kufukua makaburi kutafuta parting shots na KK. Nilicheka tu halafu nikakaa kimya. You are one of a kind wallahi !!!Shemeji me nililinda humu napita kukagua lindo
Chachi hapana
Hii wengi inatuhusuGuilty as charged !!!