Kumbe uliniona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuona wakati ule ukijaribu kufukua makaburi kutafuta parting shots na KK. Nilicheka tu halafu nikakaa kimya. You are one of a kind wallahi !!!
Dr nakusalimia...ama baada ya salamu naomba niulize mimi sijanywa kahawa,sina msongo wa mawazo na pombe sijanywa ila sijapata usingizi tatizo ni nini[emoji22][emoji22]Pombe pia huwa ni chanzo cha mtu kulala haraka lakini husababisha kushindwa kupata usingizi mzuri na kusababisha mtu kuamka mara kwa mara nyakati za usiku.
Hebu type tuone[emoji2][emoji2][emoji2]kumbe nakesha na robot humu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]