Salama,,kwako jeJirani habari ya uzima
Mlo kama huu unaukamata saa nne usiku ndo unakwenda kulala unategemea nini?
![]()
Mbagala huku makelele tulishazoea na tunauchapa usingizi vizuri tu hata kama shughuli zinaendelea hapo hapo karibu na dirisha la chumba.MAZINGIRA
Hali za kimazingira kama vile kelele, mwanga, joto au baridi kali humuathiri mtu na kusababisha kukosa usingizi.
Aaah mbona unanifukuza kijanja, kuoa usukumani haileti undugu wa karibu bana sema inaleta ushemeji tu,manfogo alishatengua kauli ya undugu,shemeji tunakulaga hahahaHalafu ni wa kawaida sana hata asikusumbue.Tumekulia usukumani ujue,so,sisi na wewe ni ndugu maana wote tumeoa usukumani.Hapo je!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]