Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo salama kabisa. Tumshukuru Mungu shemeji. Yule mgonjwa wako anaendeleaje?Nakusalimia shemeji,habari yako
Nipo salama kabisa. Tumshukuru Mungu shemeji. Yule mgonjwa wako anaendeleaje?Nakusalimia shemeji,habari yako
Kwa mtu mgeni wa mazingira hayo au aliyechoshwa na hizo kelele lazima apate tatizo la kukosa usingiziMbagala huku makelele tulishazoea na tunauchapa usingizi vizuri tu hata kama shughuli zinaendelea hapo hapo karibu na dirisha la chumba.
Ni kweli. Wageni huwa hawalali lakini baada ya wiki kama moja hivi ubongo unazoea na wanaucharaza tu bila wasiwasi.Kwa mtu mgeni wa mazingira hayo au aliyechoshwa na hizo kelele lazima apate tatizo la kukosa usingizi