myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
05:50
TUWE NA POSITIVE MIND
Nchi za nje watatuletea mali na vipawa bila kulazimishwaTusaidie kama Bill Gate
Kuna kushiba na kushiba bageshi. Halafu nyie wanawake huwa naona kama vile huwa hamli sana aisee hasa huko Usukumani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo usingizi unahamia tumboni,ila mie nikishiba sana usingizi unakuja vizuri tu
Dr nakusalimia...ama baada ya salamu naomba niulize mimi sijanywa kahawa,sina msongo wa mawazo na pombe sijanywa ila sijapata usingizi tatizo ni nini[emoji22][emoji22]
Amen !!!Remain blessed Mtanzania mwenzangu wewe na kizazi chako chote!
It's time for divine mysteries for my mama TANZANIA