Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Injili hii ya mafanikio imewafanya watu waanze kutegemea miujiza ya maombi ili kufanikiwa maishani badala ya kuchapa kazi kwa bidii, kuwekeza na kujinyima. Matokeo yake ni kukamuliwa hata kidogo walichonacho na manabii na mitume hawa wa mwendo kasi....[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
**********************************
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…