Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh sema sababu ni bachelor ungekua na mke wala wasingekaa miezi yote hio,wanawake tunajuana tu kiwango chetu cha uvumilivu
Siblings na hasa dada zangu wao huwa wanakuja tu wanakata hata miezi mitatu mpaka wanachoka wanarudi makwao. Nami huwa nafurahia kufuliwa nguo, kupikiwa vyakula vya utotoni na perks zinginezo. La familia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…