Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tyler anahisi hivyo pia. Anasema hivi: “Kutuma ujumbe mfupi ni sawa na kula chakula chepesi, kuzungumza na mtu uso kwa uso ni sawa na kula chakula kizito. Chakula chepesi kinavutia, hata hivyo bado unahitaji kula chakula kizito ili ushibe.”
 
MAMBO UNAYOWEZA KUFANYA
Fikiria mambo mazuri. Kwa mfano, wazia umefungua Tovuti fulani ambayo unaweza kushiriki picha zako na wengine kisha unaona picha za rafiki zako wakiwa kwenye karamu ambayo hukualikwa. Wakati huo, una uamuzi wa kufanya; kufikia mkataa kwamba hukualikwa kimakusudi au kuachilia tu jambo hilo. Kwa sababu hujui ni kwa nini hukualikwa,
 
It's thought that a zebra's stripes serve to help camouflage the animal in long grass, and distract predators. Recent research also shows that a zebra's stripes may have evolved to keep biting insects at bay - the monochrome pattern seems to throw off the visual systems of flies.View attachment 564364 View attachment 564364
Splendid!
Divine love
Mother and child
 
Usiwe mwenye kulaumu. Unapokuwa mpweke huenda ukafikiri hivi: ‘Sijawahi kualikwa sehemu yoyote’ au ‘Watu huniepuka sikuzote.’ Hata hivyo mawazo kama hayo yatakufanya ujihisi mpweke hata zaidi. Mawazo hayo yanaweza kukufanya uwe katika hali hii inayojirudia: Ujihisi mpweke sikuzote, umetengwa na wengine, na hivyo kufanya ujitenge zaidi, kisha uwe mpweke na kuhisi umetengwa na wengine.—Kanuni ya Biblia: Methali 18:1.
 
Back
Top Bottom