manizzle
JF-Expert Member
- Apr 29, 2015
- 3,421
- 4,323
Kwani mkuu huku kuna picha maalum, si wamesema post chochote?Mkuu picha zako nyingi si rafiki kwa Uzi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani mkuu huku kuna picha maalum, si wamesema post chochote?Mkuu picha zako nyingi si rafiki kwa Uzi huu
Lapruga hatari sanaNinachojua messi na goli zake mbili au Tatu
Dawa Ya Nin[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha
Mkuu naona unataka kuanza kuleta ubaguzi wapi kuna tusi na nani katukanwa?Lakini sio lugha chafu
AMUN RA5:11
AMUN RA
Yap unapata upepo mwananaMy beauty Indian Ocean
Imekaa kwa utulivu
Huyo bilionea wa kulia naona kaongeza na kisamaki pembeni. May be ni kuashiria kuwa yeye ana pesa zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwema mkuu
Tupo mambo ya weekend