Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Ndio Mkuu post chochote upate likes
Kuna kaukweli lakini eeeh? Tutaona [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Sijakuambia umetukana picha mkuuMkuu naona unataka kuanza kuleta ubaguzi wapi kuna tusi na nani katukanwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Madaktari wa mifugo hawafaidi chochote!Kama ni mwenzangu Andjul hapo sipati picha. Kila mtu na kazi yake kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha halafu isije kuwa alipiga picha tu alikula kweli wali maharage[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo bilionea wa kulia naona kaongeza na kisamaki pembeni. May be ni kuashiria kuwa yeye ana pesa zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani picha ya uchi inakuwaje?Picha chafu za uchi na na jamii yake
Mzee wa Tukuyu hapo da[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama ni mwenzangu Andjul hapo sipati picha. Kila mtu na kazi yake kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lugha chafu maana yake umetukana mkuu. Au lugha chafu we unaitafsiri vp?Sijakuambia umetukana picha mkuu
Hatari sana huyu jamaa
Sema mkuu. Wikiendi ndo hiyo inayoyoma !!!Shimba ya buyenze
Shimba ya buyenze ntogwaSubiri akija. Umekwisha shemeji. Na kwa vile nyote ni mashemeji zangu nitawapatanisha !!!