carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
I em faini tuI em totale faini shemeji. Hau abauti yu?
I em faini tuI em totale faini shemeji. Hau abauti yu?
Hizi kucha ni pamanenti au akitaka kula, kuosha vyombo na shughuli zingine anaziondoa?
Kichwa Kichafu
Nashukuru Mungu siku ilikuwa njema...sijamuona kwakweli mana na mimi ndo naingia hapaSema shemeji langu la nguvu. Jumapili yako imekwendaje? Mzee wa Tukuyu leo katia mguu hapa kweli?
Naisi tu hia dhati. God Blesi yu abandantli !!!I em faini tu
Hizi kucha ni pamanenti au akitaka kula, kuosha vyombo na shughuli zingine anaziondoa?
Numbisa,habari yakoHakuna za kuondoa nyingi zinabandikwa kwa super glue,hizo kazi wanavyozifanya wanajua wao labda wanaajili housegirls