RIPapumzike mahali pake alipopangiwa...
Imeniponyoka aiseehKamata likes...
Umenikumbusha mbali kumtaja Avram Noam Chomsky mkuu...kula likes.Acha uwongo mkuu. Kulingana na Noam Chomsky, maneno hayawezi kuisha kwa sababu ubongo wako uko equipped kuzalisha sentensi ambazo hazina kikomo. Kamata likes...
Ukienda fanya muamala mkubwa unaambiwa una takatisha.Kila jamii ina utaratibu na sheria zake. Kuna mambo mengi huwezi kufanya na hizo pesa zako. Kama unazo nyingi hebu jaribu kuziweka chini ya godoro uone. Utaitwa mpinga uchumi japo ni pesa zako kabisa!
Jangwani tumepoteza fan mkubwaapumzike mahali pake alipopangiwa...
Kama mbwai mbwai tu!
poleni woooteJangwani tumepoteza fan mkubwa
Wakifuta tunawashitaki maana tuna haki milikiNadhani hauna mwisho maana humu tuna like tu labda mods waufute [emoji1] [emoji1]
Kizombi zombi na likeKizombi zombi
Makinikia haijawahi kumuacha mtu salama!
Kamata hiyolikes