Hahahaaa tunaonana kumbe!Nakuona nakuona ujue
Mpuuzi umempa like kakimbiaKamata like mpuuzi ww [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ni KE...?Ni Dada yako
MitusiJukwaa la siasa kuna kitu kweli
Star starWestern Star
Akitamani mzigo unafanya nn?Ila na sisi akina baba jamani. Unamzalisha mtoto wa watu chapuchapu utafikiri kuku.
Notification ya kugonga likeKuna aliyekoment hajapata notification
Tena wengi tu. Ila wao ni maprofesheno kidogo. Tatizo letu mafundi wengine wazuri sana hasa ukizingatia kuwa wamejifundisha wenyewe. Tatizo ni wizi na Uswahili!Wakuu hivi mafundi simu ulaya wapo
Like tu hapa sina utaniKaz kwenu
Chukua like kwa ujumbe wakeDuh...! Watz mnanifurahishaga sana. Au ndio kucheua??
"Like" maana yake ni pongezi kwa ujumbe mwanana au wenye mantiki/tija. Sasa hizi za hapa sielewi kabisa.