You are so damn fine unapo cross kwa mtaaIyeeeeer
Pata LIKE kwa herufi kubwaPata likes
Hairuhusiwi hiyoAsee
Kwanin generalsiku ya leo imekwenda hovyoo.
Wameliamsha dudeTwende sasaz...
Sana sio kidogoUkisoma comments za watu kwenye uzi huu walahi unaongeza maisha
Oops sorry! Watoto wamelala!Punguza sauti watasikia wengi
Hii ni muhimu katika kuimarisha immune system. Tulicheza kwenye matope na kula uchafu. Leo hii hand sanitizer mtoto hatakiwi aguse hata vumbi matokeo yake watoto wanakuwa kama mabroiler na weak immune system. Kahoma kadogo tu ICU wakati enzi zetu unakunywa maji ya moto huyoo unaenda kucheza kwenye mvua...
[emoji13] [emoji13]Kila jamii ina utaratibu na sheria zake. Kuna mambo mengi huwezi kufanya na hizo pesa zako. Kama unazo nyingi hebu jaribu kuziweka chini ya godoro uone. Utaitwa mpinga uchumi japo ni pesa zako kabisa!
usininyime na yanguKula like
Ok kamata like and keep knowing nothingThe only thing i know is that i know nothing!