Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kitambo sijatia guu maana makinikia hamna tena.Jukwaa la siasa kuna kitu kweli
Kitambo sijatia guu maana makinikia hamna tena.Jukwaa la siasa kuna kitu kweli
AMUN RAWanastahiki heshima mno
Umeingia simba
Pata likesKitambo sijatia guu maana makinikia hamna tena.
Hataki mchezo mchezoNakuona unakuja kwa kasiii
Ndiyo ukweli. Pesa niitafute kwa shida, halafu nipangiwe muda wa kuitumia. Its not fearKweli kweli na mimi nimeona akilizako unazijua mwenyewe
We kideko wewe?Duhh
Kitambo haya majina kwenye historyMali, Timbuktu, Mansa Musa Trading
Watu wanatukanana balaa [emoji23][emoji23][emoji23]Jukwaa la siasa kuna kitu kweli
Usifanya hivyo tafadhaliSerikali hii ikataze kila kitu, lkn hili la kutupangia saa za kugonga pombe linaniuma sana. Nimeanza likizo leo, kila ninapokaa wanasema hawauzi pombe sasa sijui nihamie guest house nikafanye ile dhambi kubwa zaidi. Akili zangu nazijuaga mwenyewe
Na mimi! Na mimiPls naombe like wakuu
Kama mjeda mwenyewe ndiye huyu, hao magaidi watatumaliza![]()
Kawasiri asubuhi leo huko Ikwiriri
Mswati wa watotozKaribuni Swaziland kwa King Mswati![]()
Halafu unakuta kabinti kadogo tu kanakubali kugeuzwa godoro na jamaa kama hili...Ni shida
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Ukitaka kuelekea huko nikumbushe niku company.
Akili zangu nazijua mwenyewe
Tumewaacha na mitusi yao! Stress za nini!Watu wanatukanana balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni uzi ila wengine wanatumia kama ni kucheza game anaweka post anasubiri like fasta tu anafunga mahesabuHuu uzi ni inspirational walahi!