Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Kwa speed ya light.Dah! Uzi unakimbia
Kwa speed ya light.Dah! Uzi unakimbia
Habari njemaHabari
Hahahaaa....njoo kwangu mimi nina kaunta ndogo ndanii...Serikali hii ikataze kila kitu, lkn hili la kutupangia saa za kugonga pombe linaniuma sana. Nimeanza likizo leo, kila ninapokaa wanasema hawauzi pombe sasa sijui nihamie guest house nikafanye ile dhambi kubwa zaidi. Akili zangu nazijuaga mwenyewe
Wanasema paka akitoeka panya utawala.Naona watu wana kimbizia kipenzi changu Babe S pale ninapokuwa sipo
Una bahati sinywi...Serikali hii ikataze kila kitu, lkn hili la kutupangia saa za kugonga pombe linaniuma sana. Nimeanza likizo leo, kila ninapokaa wanasema hawauzi pombe sasa sijui nihamie guest house nikafanye ile dhambi kubwa zaidi. Akili zangu nazijuaga mwenyewe
Tupe tupeLive Updates kutoka Pwani.
Inaweza saidia saidia kidogo[emoji13] [emoji13] [emoji40] [emoji13]
Life is never fair aisee...😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
![]()
Viwanda vitano kujengwaTupe tupe
Vya kutengeneza gundi?Viwanda vitano kujengwa
Photo shop hiyoKaribuni Swaziland kwa King Mswati![]()
Kweli kweli na mimi nimeona akilizako unazijua mwenyeweSerikali hii ikataze kila kitu, lkn hili la kutupangia saa za kugonga pombe linaniuma sana. Nimeanza likizo leo, kila ninapokaa wanasema hawauzi pombe sasa sijui nihamie guest house nikafanye ile dhambi kubwa zaidi. Akili zangu nazijuaga mwenyewe
Nahahidi 0.3k kwa leo.Jamani bado kama. 3.8K kufikisha lengo letu la leo kufikisha 30K