ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Kawasiri asubuhi leo huko Ikwiriri
Ahsante mkuuNa kwako pia mkuu
Na nina wasi wasi na wewe sanaWanasema paka akitoeka panya utawala.
Ukitaka kuelekea huko nikumbushe niku company.Serikali hii ikataze kila kitu, lkn hili la kutupangia saa za kugonga pombe linaniuma sana. Nimeanza likizo leo, kila ninapokaa wanasema hawauzi pombe sasa sijui nihamie guest house nikafanye ile dhambi kubwa zaidi. Akili zangu nazijuaga mwenyewe
General Galadudu!![]()
Kawasiri asubuhi leo huko Ikwiriri
YerewiiiiiiiiKaribuni Swaziland kwa King Mswati![]()
Ha ha watamuelewa sana![]()
Kawasiri asubuhi leo huko Ikwiriri
Chukua like kwanzaViwanda vitano kujengwa
SuccessfulTesting Testing Testing ....
MtakatifuAhsante mkuu
Naam!Mtakatifu
Hapana mkuu mi nimetega field zangu labda aingie mwenyewe.Na nina wasi wasi na wewe sana
Humu wazima kiongoziWazima kabisa humu
Mbona tunatoa shusha silaha chini ?![]()
Mnatoa like hamtoi