moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
NiajeLete likes tu!
NiajeLete likes tu!
HahahahaUkhuty atuzingua na kivietnam chake[emoji84]
Hahahaha eti viji likeAcheni ubahili wa viji like
Wapi hapo?Nimejaribu kupachungulia home(Nonde) sipaoni.
Aaah maana uliogopesha.. Kuna uzi maalumu tayari wa yanayojiri kwahivyo utafute.Watupe updates za huko
Ubahili hadi like pesa itakuajeAcheni ubahili wa viji like
KaribuNimerejea sasa....
NdiyeNi ww huyo hapo juu? [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji115][emoji115][emoji115]
Ni kweli!Baada ya dhiki faraja
Long live my mama and all moms wanaotoa likes kwenye hii noble thread.![]()
Hakika hakuna kama Mama.
Si mchezoMungu aendelee kuwagusa wanawake wa kiafrika.
![]()
Ulitaka apeleke wapi, kazi ya pesa ni kumuhonga wifeHalafu baada ya kulikwamua gari hapo utakuta jamaa anaenda kuhonga hela yote!! Mungu anawaona nyie akina naniii...
You got it!Likes likes
Hii ilikuwa kali kweli![]()
Ajali kazin
Wife humhongi unampa...wee mkeo unamhonga hela??Ulitaka apeleke wapi, kazi ya pesa ni kumuhonga wife