Acha madoido. Kamata likes...Duh...! Watz mnanifurahishaga sana. Au ndio kucheua??
"Like" maana yake ni pongezi kwa ujumbe mwanana au wenye mantiki/tija. Sasa hizi za hapa sielewi kabisa.
Sisi hatupumziki kugawa likeNinyi ndo hampumziki![]()
Kamata like mpuuzi ww [emoji23][emoji23][emoji23]Je nikisema huu ni upuuz ulioanzishwa na mpuuz flan na unaungwa mkono na wapuuz wenzie nitakula like pia?
Kula likeHivi huu uzi bado upo
AmenIna pendeza mkuu
Nipo mzee. Ni kukamata likes tu. Hata ugumu wa maisha umepungua!Umeingia simba
Ukisoma comments za watu kwenye uzi huu walahi unaongeza maishaNi uzi ila wengine wanatumia kama ni kucheza game anaweka post anasubiri like fasta tu anafunga mahesabu