Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ila na sisi akina baba jamani. Unamzalisha mtoto wa watu chapuchapu utafikiri kuku.![]()
Hakika hakuna kama Mama.
Ila na sisi akina baba jamani. Unamzalisha mtoto wa watu chapuchapu utafikiri kuku.![]()
Hakika hakuna kama Mama.
Nzuri sanaZenu
Nyayo za ukhutyHhfffd
Like but sadIla na sisi akina baba jamani. Unamzalisha mtoto wa watu chapuchapu utafikiri kuku.
Pole sana! hujachelewa thoughLeo nimekosa nyingi
Ziweke hapa tuzijadiliLive Updates kutoka Pwani.
Nzuri zaidiNzuri sana
Kiongozi, gonga gongaHapana muda upo.
Kichwa kichafu nipo mjengoni sikuachi salama
Mfalme Selemani alisema vitu vingine sio vya kufikira sana! Pata likesDuh...! Watz mnanifurahishaga sana. Au ndio kucheua??
"Like" maana yake ni pongezi kwa ujumbe mwanana au wenye mantiki/tija. Sasa hizi za hapa sielewi kabisa.
Upo pata likesHivi huu uzi bado upo
Anatafuta six parksOuch jamani sad walahi
Twende sasaz...Jamani bado kama. 3.8K kufikisha lengo letu la leo kufikisha 30K
SongeshaAina noma, ngoja niendeleze
Vyo vyote vile. Ufukweni tukicheza na kufurahi. Au uliota tukifanya nini?Eheee.... Tukiwa tunafwanyaje sasa