Mango833
JF-Expert Member
- May 4, 2011
- 4,483
- 20,663
Fyatua watasoma bureAiseh huyu baba wa hawa watoto naona hacheki na kima, yeye anafyatua tu.
Fyatua watasoma bureAiseh huyu baba wa hawa watoto naona hacheki na kima, yeye anafyatua tu.
Sijasoma lakini kamata likes!WALE MAOFISA ELIMU WALIOKARIPIWA NA MAKONDA NI WAKATI WA KUWAPONGEZA.
Hivi Feza Boys si ipo Daresala? Hivi wale maofisa elimu si wanahusika pia kuisimamia Feza Boys? ...
Hawa wanafunzi ni watanzania wametuletea sifa wameshinda mashindano ya uwezo wa Kitaaluma duniani.
[HASHTAG]#Makonda[/HASHTAG] aende pale Feza aone kwa nn watoto hawa wamefanikiwa kushinda mashindano ya kimataifa kitaaluma halafu achukue file lote la mipango ya shule hiyo atoe photocopy arudi nalo ofisini kwa ajili ya utekelezaji.
[HASHTAG]#Akifanikiwa[/HASHTAG] kutekeleza kwa asilimia 100 halafu wanafunzi bado wakifeli nitamuunga mkono hata akiwakata vibao wale maofisa Elimu.....
[HASHTAG]#Wale[/HASHTAG] maafisa Elimu mpigieni simu mtaaluma wa Feza awape mikakati ya kuinua elimu mucopy muipeleke kwa Mh.
#No fair Ground kwenye elimu Tanzania .... kwenye elimu hakuna njia ya mkato.
Baada yq kuona hii list ikanibidi nirudi kuhakiki wapi sijapiga like.Ninyi ndo hampumziki![]()
Uzi ukimbiza hatareeTunataka ya speed ya light and thunder
Basi Sawawashindi wa tunzo za dhahabu![]()
Dani jumbaMkuu ndani ya nyumba
KimbungaTsunami
Mi najua ulaya ulaya tuWakuu hivi mafundi simu ulaya wapo
Hata muda wa kutafakari haya maneno yako mazito ya kifalsafa sina. Kamata likes...
Anatekeleza kauli ya mkulu aisee ya kufyatua kama tofa tofariAiseh huyu baba wa hawa watoto naona hacheki na kima, yeye anafyatua tu.
Kwani ni lazima kuwapa mkono? We vipi? Anyway kamata likes!yupi utampa mkono![]()
Akunyimae pesa anakupunguzia dhambi,_akunyimaye like hata maji hatakupaUbahili hadi like pesa itakuaje