Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

13c9f1ebd506a955b2fbe615b1d6edcd.jpg
nawatakia mchana mwema
Mkuu saivi jioni bana
 
WALE MAOFISA ELIMU WALIOKARIPIWA NA MAKONDA NI WAKATI WA KUWAPONGEZA.

Hivi Feza Boys si ipo Daresala? Hivi wale maofisa elimu si wanahusika pia kuisimamia Feza Boys? ...

Hawa wanafunzi ni watanzania wametuletea sifa wameshinda mashindano ya uwezo wa Kitaaluma duniani.

[HASHTAG]#Makonda[/HASHTAG] aende pale Feza aone kwa nn watoto hawa wamefanikiwa kushinda mashindano ya kimataifa kitaaluma halafu achukue file lote la mipango ya shule hiyo atoe photocopy arudi nalo ofisini kwa ajili ya utekelezaji.

[HASHTAG]#Akifanikiwa[/HASHTAG] kutekeleza kwa asilimia 100 halafu wanafunzi bado wakifeli nitamuunga mkono hata akiwakata vibao wale maofisa Elimu.....

[HASHTAG]#Wale[/HASHTAG] maafisa Elimu mpigieni simu mtaaluma wa Feza awape mikakati ya kuinua elimu mucopy muipeleke kwa Mh.

#No fair Ground kwenye elimu Tanzania .... kwenye elimu hakuna njia ya mkato.
Nimesoma kichwa tu nitarudi kusoma baadae mkilala
 
Back
Top Bottom