Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
That's y nakupendaBado niponipo sana tu usijali
That's y nakupendaBado niponipo sana tu usijali
Eeeh[emoji23][emoji23]Sawa sawa mkuu hapa hadi nimejikata tone la damu limeanguka chini limeandika like
Kwa haya machache unayofanya zawadi yako hii [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253] [emoji253]
KK aka......[emoji23][emoji23]Kama Jina la uzi "UZI MAALUM WA KUPEANA LIKES"
Tangu asubuhi uzi wetu pendwa uliofanya mapinduzi na maajabu kwa muda mfupi na utaendelea kulipua nyuzi nyingi humu JF.
Naomba kwa pamoja katika ulimwengu wetu na kijiji
chetu hiki turudi kwenye UZI wetu tukachafue LIKES za kutosha kwa mleta uzi
Jembekillo kwa pamoja.
Mda mfupi tu na tuendelee kulipua LIKES katika haka
kakijiji tulikokutanishwa kwa pamoja.
LIKE KIROHO SAFI TU
Jembekillo muanzilishi wa UZI PENDWA.
Yametimia maneno yakoHuu uzi tunaulinda wenyewe maana unaenda kufanya maajabu ndani ya mwezi
Thank you for the best memories UB, in our hearts you're still the Champ.
![]()