Pole sana nilijua nakupa promoSawa mkuu,ila leo umeninyanyapaa sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha Ho chi minh katoto kashule hako kamerudi kufuata ada[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante kwa kumuachia ho chi minh. Hasemi alikuwa wapi,sijui ndio Roma's style au!!?
Sijawahi ona uzi unakimbia kwa kasi kama huu. Watu hawalali duh!
Hahaaaaaa katoto kashule kametoroka. Nimefurahi kukuona tena. Kashfa nyingi zimetupata mimi na mama watoto Babe S kwajili yako
Na bado tupo humuhumu hadi leo daahHumu ndo tutakapo dumu mpaka mwisho
[emoji8][emoji8][emoji8]That's y nakupenda
End of an era!
Unafanya nn hukoNa bado tupo humuhumu hadi leo daah