Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Siyo wa kuhurumia hawa shemeji. Litimu liko huko Ulaya na hulijui mbele wala nyuma wewe huko Kibiti hata kula huli eti Barcelona imefungwa. Hii sitakaa nielewe hata kidogo.Doooh!masikini pole eeh[emoji23][emoji23][emoji23]ila ukome
Doooh!masikini pole eeh[emoji23][emoji23][emoji23]ila ukome
Lala tu kichwa kichafu..yani saivi I'm happy mpaka temperature imepandaInabidi nilale tu si hivi
Neymar can not be replacedUjinga huu barcelona
Uwezi jua nini wakati ndio matokeo1-3
huwezi jua
My ndugu mi usingizi wote wamechukua yaani iniesta kama kiungo wa ndondo cupInabidi nilale tu si hivi
[emoji22] [emoji22] [emoji22]Lala tu kichwa kichafu..yani saivi I'm happy mpaka temperature imepanda
Afadhali yaani khaa[emoji23][emoji23][emoji23]pole eehHeri nirudi tu humu hawa barcelona leo waniboa sana [emoji22] [emoji22]
Toto la kibongo! Salaaale!
Ile furaha imeishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]wahenga walisema furaha ya nyani huishia wapi vileeeWameharibu siku kabisa
Masikini pole eeh[emoji38][emoji38][emoji38]Inabidi nilale tu si hivi
DembeleNeymar can not be replaced
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Ronaldoooooooooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mahaba niue nipondeponde kama nyanya...ndo kwaaaanza asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23]hadi ligi ikiisha akili imekukaa sawaUjinga huu barcelona
Yan mimi nashindwa hata kushangaa kufungwa wafungwe wengine wewe ulie[emoji23][emoji23][emoji23]wapenda mpira mnisamehe tuSiyo wa kuhurumia hawa shemeji. Litimu liko huko Ulaya na hulijui mbele wala nyuma wewe huko Kibiti hata kula huli eti Barcelona imefungwa. Hii sitakaa nielewe hata kidogo.
Bado hivi vidogo walivyoviingiza humu ovyo tu. Haka kadg suarez nakoMy ndugu mi usingizi wote wamechukua yaani iniesta kama kiungo wa ndondo cup