carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji38][emoji38][emoji38]mnisamehe tu kwakweli maana....Hii pole inayoambatana na neno, ndio "ukome" inaumiza sana![emoji848]
[emoji38][emoji38][emoji38]mnisamehe tu kwakweli maana....Hii pole inayoambatana na neno, ndio "ukome" inaumiza sana![emoji848]
Kwakweli..hata mm leo nmepooza maumivu yangu ya chelsea.[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Imenibidi nirudi youtube kustream goals za Man U labda naweza kupunguza maumivu haya
We acha tu hamna namna mama ndio nimechagua[emoji22] [emoji22] [emoji22]Afadhali yaani khaa[emoji23][emoji23][emoji23]pole eeh
Vitu vingine mtu unakubali tu yaishe, daa!
Na wewe unahuzuni ya kufungwa?Uwezi jua nini wakati ndio matokeo
[emoji22] [emoji22] [emoji22]Ile furaha imeishia wapi[emoji23][emoji23][emoji23]wahenga walisema furaha ya nyani huishia wapi vileee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujue usiku huu acha kunifurahisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji22] [emoji22] [emoji22]
Imenibidi nirudi youtube kustream goals za Man U labda naweza kupunguza maumivu haya
Yaan defence ni mchicha yote goli zote mbili zimefungwa pale paleBado hivi vidogo walivyoviingiza humu ovyo tu. Haka kadg suarez nako
Unatia huruma dooh[emoji23][emoji23][emoji23]Bado hivi vidogo walivyoviingiza humu ovyo tu. Haka kadg suarez nako
[emoji22] [emoji22]Masikini pole eeh[emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Imenibidi nirudi youtube kustream goals za Man U labda naweza kupunguza maumivu haya
Kwakweli..hata mm leo nmepooza maumivu yangu ya chelsea.
Pambana tu na hali yako[emoji23][emoji23][emoji23]ila ndo ukubali tu kuwa mmefungwaWe acha tu hamna namna mama ndio nimechagua[emoji22] [emoji22] [emoji22]
Kumbe ndio maana jana ulipotea bila kuaga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakweli..hata mm leo nmepooza maumivu yangu ya chelsea.
BrooooSiyo wa kuhurumia hawa shemeji. Litimu liko huko Ulaya na hulijui mbele wala nyuma wewe huko Kibiti hata kula huli eti Barcelona imefungwa. Hii sitakaa nielewe hata kidogo.
ICU ileeee inakuita[emoji23][emoji23][emoji23]nikuitie [emoji603][emoji603][emoji603][emoji603][emoji1][emoji1][emoji1][emoji22] [emoji22] [emoji22]
Ngoja nikutafute kwanza[emoji23]
Acha tu[emoji28][emoji28][emoji28]Kumbe ndio maana jana ulipotea bila kuaga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujue usiku huu acha kunifurahisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na bado ndo kwaaanza jua linachomoza hapa hadi ligi iishe mmekiona cha mtema kuni....mnisamehe tu wapenziUozo mtupu
[emoji22] [emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mahaba niue nipondeponde kama nyanya...ndo kwaaaanza asubuhi[emoji23][emoji23][emoji23]hadi ligi ikiisha akili imekukaa sawa