Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Hivi saivi ni usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Matokeo ngap ngapi vile[emoji28][emoji28]
Hivi saivi ni usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Matokeo ngap ngapi vile[emoji28][emoji28]
Ila sisi tusiopenda mpira tutateseka sana. Na ligi tu ndi imeanza dah. Tutasavaivu vipi Carba?Yan mimi nashindwa hata kushangaa kufungwa wafungwe wengine wewe ulie[emoji23][emoji23][emoji23]wapenda mpira mnisamehe tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuwa ngedere hadi nikae juu ya miti[emoji23][emoji23]....
Niimbie kidogo basi.
Anaitwa nani huyu binti mkuu?Toto la kibongo! Salaaale!
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23]usijali ila nitakukomeshaTeh teh teh
Ww si upo ndio maana nakuwa na kiburi zaidi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata mchiriku fresh Tu utasaidiaSijui hata niimbe nini aiseeh maana daah!hadi mashairi yamepotea
[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie akuache upumzikebro unamuona ronaldo wadunia uyo
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hiyo juu ni text ya mtu ambae hatujawasiliana kama mwezi hivi lakini baada ya kushinda ndo anaonekana
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]BAK, naona kila mtu humu ana baby wake. Tufanye maarifa na sisi tupate wa kutuita babe aisee! Jamani nani single lady humu tualianzishe?[emoji3]
Brooooo !!!Nina li application la football basi linaniletea ma notification ya Ronaldo mara asensio mpaka nime uninstall arrrgh
Hata namjibu bhasi imekula kwake[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie akuache upumzike
Kuna mtu anaitwa ....... ..yuko single[emoji2][emoji2]BAK, naona kila mtu humu ana baby wake. Tufanye maarifa na sisi tupate wa kutuita babe aisee! Jamani nani single lady humu tualianzishe?[emoji3]
Pole sana daah!Nimeifutilia mbali
Habari za mida hii naona umepitia kijijini kucheki cheki mazingiraBrooooo !!!
Jibu swali kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]ngap ngap?Hivi saivi ni usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaani nawaza kupotea humu hadi ligi iishe maana watatunyanyasa sanaIla sisi tusiopenda mpira tutateseka sana. Na ligi tu ndi imeanza dah. Tutasavaivu vipi Carba?
Vipi? Timu yako imefungwa? Pole bro...Habari za mida hii naona umepitia kijijini kucheki cheki mazingira
Huku ni hatari si unajua watu ninavyo washughulikia ni kama kijiji kinanitafuta hata what's up imenibidi ni freeze.bro unamuona ronaldo wadunia uyo
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hiyo juu ni text ya mtu ambae hatujawasiliana kama mwezi hivi lakini baada ya kushinda ndo anaonekana
Subiri nikutag mahaliHata mchiriku fresh Tu utasaidia
Anaugulia maumivu ya mpira[emoji28][emoji28]Brooooo !!!