Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bro unamuona ronaldo wadunia uyo

[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115] hiyo juu ni text ya mtu ambae hatujawasiliana kama mwezi hivi lakini baada ya kushinda ndo anaonekana
Huku ni hatari si unajua watu ninavyo washughulikia ni kama kijiji kinanitafuta hata what's up imenibidi ni freeze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…