Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

abe2af37ab29bf06da93845b8781ee41.jpg
 
Aisee, mi siku hizi najitahidi sana kuwa mbali na vitu vinavyoweza kunipa shinikizo la damu! I'm neutral/free like an electron flowing from +ve to -ve side of a node![emoji3]
Afadhali yako. So far tuko mtu tatu ambao hatujali sana ishu hizi za mpira:

Carba, Yego na SYB...

Tutajuana tu pole pole. Ligi yenyewe ndeeeefuuuuu !!!
 
Haya naomba mnisaidie ili huko mbele ya safari niweze kufuatilia mijadala ya mipira hapa vizuri. Wadau hawa wanashabikia timu gani?

Cherie =
Kichwa Kichafu =
Cole Williams =
Mzee wa Liver = Liverpool
Yegomasika =
BAK =
Ambiele Kiviele =
Rutashubanyuma =
Bob12 =
Carba = None
SYB = None

Wengine nitawafuatilia pole pole..
Cherie-Chelsea,Real Madrid[emoji4]
 
Cherie-Chelsea,Real Madrid[emoji4]
Noted. Nitawaandika wote kwenye notebook kabisa. Chelsea nanyi si mlitandikwa jana/juzi tugoli tuwili tutatu hivi katika mechi yenu ya kwanza? Afadhali leo Real Madrid wamekutoa kimasomaso...

Na mtu unaanza anzaje kuwa mshabiki wa hizi timu? Unachaguaje Mf. Chelsea badala ya Arsenal au Manchester United?
 
Back
Top Bottom